Simamia mauzo, bidhaa, wateja na madeni kwa WhatsApp tu. Hakuna daftari tena.
MauzoHub
mtandaoni
Nimeuza sukari kilo 2 kwa 5000 taslimu
14:32✅ Imehifadhiwa. Risiti RS-000124. Sukari 2 kg — TZS 5,000 (taslimu). Mauzo ya leo: TZS 84,500
Hakuna app ya kupakua wala mafunzo marefu. Wewe na wafanyakazi wako mnatumia namba hii hii ya WhatsApp, kila mmoja kwa mahitaji yake.
Kwa Mmiliki wa Duka
Kwa Wafanyakazi Wako
HATUA 1
Jisajili kwa Dakika Tano
Fungua akaunti na uongeze bidhaa zako za kwanza kwenye mfumo.
HATUA 2
Unganisha Namba ya WhatsApp
Wewe na wafanyakazi wako mnatumia WhatsApp mliyozoea kuandikia mauzo.
HATUA 3
Anza Kuandika Mauzo
Andika mauzo kama unavyoongea — mfumo unahifadhi kila kitu papo hapo.
Mauzo kwa WhatsApp
Andika mauzo kwa maneno ya kawaida, mfumo unahifadhi kiotomatiki.
Stock ya Bidhaa
Fuatilia bidhaa zinazoisha na upate tahadhari mapema.
Wateja na Madeni
Hifadhi wateja wako na fuatilia madeni bila daftari.
Ripoti za Papo Hapo
Ona mauzo ya leo, wiki na mwezi kwa mtazamo mmoja.
Watumiaji Wengi
Ongeza wafanyakazi wako wenye ruhusa tofauti kila mmoja.
Risiti za PDF
Tuma risiti rasmi za PDF kwa wateja wako papo hapo.
Hakuna fomu za kujaza. Andika tu unachotaka kufanya kwenye WhatsApp, MauzoHub inaelewa na kuhifadhi kila kitu papo hapo.
MauzoHub
mtandaoni
Nimeuza sukari kilo 2 kwa 5000 taslimu
14:32✅ Imehifadhiwa. Risiti RS-000124. Sukari 2 kg — TZS 5,000 (taslimu). Mauzo ya leo: TZS 84,500
Bidhaa zangu ngapi zimebaki za mafuta?
14:32🛢️ Mafuta ya Kupikia: zimebaki lita 8. Kiwango cha chini ni lita 10 — zinakaribia kuisha.
Ripoti ya leo
14:32📊 Mauzo ya leo: TZS 84,500 Miamala: 6 Bidhaa iliyouzwa zaidi: Sukari
Anza bure, lipia unapokuwa tayari kukua.
Mwanzo
kwa mwezi
🎁 Siku 2 za kwanza ni bure
Biashara
kwa mwezi
🎁 Siku 2 za kwanza ni bure
Biashara Plus
kwa mwezi
🎁 Siku 2 za kwanza ni bure
Tazama ulinganisho kamili wa vifurushi kwenye ukurasa wa bei.